Villagers of South Unguja Pete acquiring knowledge about the fight against AIDS through Jihadhari magazine released by Zanzibar AIDS Commission
Children at ZAPHA+
ZAC Monitoring and Evaluation Coordinator Mr. Ali Kimwaga in one of the M&E meeting
Theatre for Social Development (THESODE) on the stage
Group Picture during World AIDS day climax 2015
Participants attended National Youth Forum in Zanzibar
Group Picture during World AIDS day climax, 1 December 2016
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Watendaji wa Wizara yake ikiwemo Tume ya UKIMWI ambayo imehamishiwa Wizara hiyo.

ZAC Chairperson

Welcome to the Zanzibar AIDS Commission (ZAC) Website. We hope that the ZAC website will serve to give a closer picture about ZAC...Read More

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya  UKIMWI  Zanzibar, Dr. Ali Salim  Ali  akiwakabidhi  zawadi ya  fedha  taslim  washindi wa uandishi bora wa habari za  UKIMWI, 2015; Habiba Zarali na Haji Nassor  

Tasnia ya uandishi wa habari ni muhimu sana katika   kuelimisha jamii  juu   harakati  za   mapambano dhidi ya UKIMWI. Ni  njia nyepesi ya kupeleka elimu kwa  jamii  kwa kupitia njia   mbalimbali kama  vile  uandishi   wa habari za  kawaida, makala, michezo  ya  kuigiza, ama  vipindi maalum vya redio na televisheni. 

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI  duniani  yaliyofanyika Disemba  mosi, 2015  pamoja  na shughuli   nyengine za mashindano ya midahalo mbalimbali  lakini  pia ilishirikisha mashinano  kwa waandishi wa  habari  na waandaaji wa  vipindi mbalimbali  vya redio na  televisheni. 

Tangazo kwa ajili ya uandishi lilitolewa  na waandishi  mbalimbali wa magazeti, redio na televisheni   waliwasilisha  kazi   zao.  Timu ya wataalamu wa  habari walichaguliwa katika kuzinakili  na kupitia  ubora wa habari hizo zilizowasilishwa  kwa ajili ya  mashindano  kwa  kuzingatia  vigenzo maalum. Baada ya timu hiyo  ya wataalamu   kukaa  na kuhakiki  ubora  wa habari  hizo  mwandishi  wa habari  kutoka  gazeti la  Zanzibar leo, Haji  Nassor  na  Habiba  Zarali kutoa Redio Jamii    Mkanyageni  waliibuka  kidedea  na kukabidhiwa  zawadi ya fedha taslim  na vyeti  maalum  vya ushiriki.

Haji  Nassor  aliandika makala  yake akihusisha vitendo vya unyanyapaa na ubaguzi kwa  watoto wanaoishi  na Virusi  Vinavyosababisha UKIMWI  wakati   ndugu Habiba  Zarali aliandika habari zake kwa kuelezea hatari ya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia na mahusiano yake na UKIMWI. 

Uongozi wa Tume ya UKIMWI na wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI wanawapongeza kwa dhati waandishi hawa  na wale wote walioshiriki katika shindano hili la uandishi wa  habari bora za UKIMWI  kwa  mwaka 2015 kwa lengo  la kuelimisha   jamii.  Shime waandishi wa habari  na   tuendelee  kueimisha jamii kwa kupitia tasnia hii ya uandishi wa habari.

 

CDC.jpgCHAI.jpgGlobal Fund Logo.pngLOGO ONE UN.jpgPEPFAR.pngUNAIDS.jpgUNDP.jpgUNFPA.jpgUNICEF.pngUSAID.jpgWHO.pngWORLDBANK_LOGO.jpg